21/3/2016 VYUO VYA AFYA VITAKAVYOCHUKUA WANAFUNZI APRIL 2016

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI

    

MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO MACHI 2016/2017

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) wanatangaza nafasi za masomo kwa kozi mbalimbali za afya zinazotolewa na vyuo vilivyosajiliwa na NACTE na kutambuliwa na wizara. Vyuo vitakavyoendesha mafunzo haya kwa muda huu ni:

S/N

Institute

Programme

NTA Level

Enrolment Capacity

TOTAL

Male

Female

1

Primary Health Care Institute - Iringa

Diploma in Nursing

Level 4-6

30

15

45

2

Mwambani School of Nursing - Chunya

Diploma in Nursing

Level 4-6

40

20

60

3

New Mafinga Health and allied Institute- Mafinga

Diploma in Nursing

Level 4-6

25

25

50

Certificate in Community Health

 Level 4

35

35

70

4

St. Aggrey College of Health Science- Mbeya

Certificate in Nursing and Midwifery

Level 4-5

25

25

50

5

Bulongwa Health Science Institute- Makete

Diploma in Nursing and Midwifery

Level 4-6

20

30

50

Certificate in Community Health

Level 4

20

20

40

7

Lugarawa School of Nursing- Ludewa

Certificate in Medical Laboratory Science

Level 4-5

30

10

40

8

Mbalizi Institute of Health Sciences - Mbeya

Certificate in Community Health

Level 4

25

25

50

9

Yohana Wavenza Health Institute- Mbozi

Diploma in Nursing

Level 4-6

30

20

50

10

St. Bakhita College of  Health - Nkasi

Certificate in Nursing and Midwifery

Level 4-5

25

25

50

11

Mkomaindo

Certificate in Community Health

Level 4

40

40

80

12

Huruma School of Nursing

Diploma in Nursing and Midwifery

Level - 4-6

25

25

50

13

Hydom School of Nursing

Diploma in Nursing

Level - 4-6

10

30

40

14

Same School of Nursing

Certificate in Nursing and Midwifery

Level - 4-5

20

30

50

15

St. Augustin Institute of Health Sciences (CHW)

Hospital

Level 4

40 

40

80

school                  

50

50

100

Elijerry centre

50

50

100

16

Archibishop John Ramadhani School of Nursing

Certificate in Nursing and Midwifery

Level 4 -5

25

25

50

17

Kilema College of Health Sciences

Certificate in Medical laboratory

Level 4 -5

25

25

50

18

Spring Institute of Business and Sciences

Diploma in Pharmaceutical Science

Level 4- 5

20

20

40

19

Nicodemus Hhando School of Health Sciences

Certificate in Medical laboratory

Level 4 -5

25

25

50

21

Besha Health Training Institute

Certificate in Medical laboratory

Level 4-5

25

25

50

Certificate in Community Health

Level 4

25

25

50

22

Bumbuli (SEKOMU)

Certificate in Clinical Medicine

Level 4-5

45

Diploma in Clinical Medicine

Level 4-6

90

Certificate in Community Health

Level 4

25

25

50

23

Tandabui

Certificate in Community Health

Level 4

25

25

50

24

Sengerema COTC

Certificate in Medical laboratory

Level 4-5

35

15

50

25

Mwasenda

Certificate in Medical laboratory

Level 4-5

25

25

50

26

Royona

Certificate in Medical laboratory

Level 4-5

30

40

70

27

Bukumbi Nursing

Certificate in Nursing and midwife

Level 4-5

25

25

50

28

Kagemu EHS

Certificate in Environmental Health Science

Level 4-5

10

10

20

Diploma in Environmental Health Science

Level 4-6

15

15

30

29

Kolandoto

Certificate in Nursing

Level 4-5

30

30

60

Certificate in Community Health

Level 4

30

30

30

30

Mikocheni School of Nursing 

Diploma in Nursing

Level 4-6

20

20

40

Certificate  in Nursing

Level 4-5

20

20

40

31

Kulagwa

Certificate in Community Health

Level 5

40

40

80

32

DECCA College of Health and Allied Sciences

Diploma in Medical Laboratory

Level 4-6

60

40

100

Diploma in Nursing

Level 4-6

50

50

100

33

Mvumi Institute of Health Sciences

Certificate in Nursing and Midwifery

Level 4-5

10

15

25

Diploma in Nursing and Midwifery

Level 4-6

20

30

50

Certificate in Medical Laboratory Science

Level 4-5

40

30

70

Certificate in Community Health

Level 4

20

30

50

34

Tabora Institute

Diploma in Clinical Medicine

Level 4-6

50

50

100

Certificate in Community Health

Level 4

50

50

100

35

Kilimatinde

Certificate in Nursing and Midwifery

Level 4-5

40

40

80

36

Nkinga Institute of Health Sciences

Certificate in Nursing

Level 4-5

10

20

30

Diploma in Nursing

Level 6

20

20

40

Certificate in Medical Laboratory Science

Level 4-6

15

15

30

37

Iambi School of Nursing

Certificate in Nursing and Midwifery

level 4-5

30

20

50

38

St. Johns University

Diploma in Nursing

Level 4-6

75

75

150

39

Rukwa College of Health Sciences

Certificate in Community Health

Level 4

25

25

50

40

Massana College of Nursing

Technician Certificate in Nursing

Level 4 - 5

20

20

40

Ordinary Diploma in Nursing

Level 4 - 6

20

20

40

Kufuatia tangazo hili watu wote wanaopenda kujiunga na kozi hizi, watume maombi yao ili wajiunge na kozi hizi ifikapo mwezi April 2016.

1.    Muda wa Mafunzo:  

·         Miaka mitatu (3)kwa kozi za Stashahada (Ordinary Diploma)

·         Miaka miwili (2) kwa kozi za astashahada (Technician Certificate)

·         Mwaka mmoja (1) kwa astashahada ya awali (Basic Technician Certificate)

2.    Sifa za Muombaji Watarajali (Pre-service):

3.    Kozi za stashahada (ordinary diploma)

·         Kozi za Stashahada ya Maabara (Ordinary Diploma in medical laboratory sciences) amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘C’,  kwa masomo ya biologia na kemia , na alama ‘D’ kwa somo la fizikia, Hisabati na Kingereza kwa  .

·         kozi za Stashahada ya uuguzi na ukunga (ordinary diploma in nursing and midwifery)Awe amemaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘C’,  kwa masomo ya biologia na kemia , na alama ‘D’ kwa somo la fizikia. ufaulu wa  Hisabati na Kingereza ni sifa ya ziada

·         kozi za Stashahada ya Utabibu (ordinary diploma in clinical Medicine)Awe amemaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘C’,  kwa masomo ya biologia na kemia , na alama ‘D’ kwa somo la fizikia. ufaulu wa  Hisabati na Kingereza ni sifa ya ziada

1.    Kozi za astashahada (technician certificates)

·         Astashahada ya  maabara (Technician Certificate medical laboratory sciences).  amemaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama ‘D’, kwa masomo ya biologia, Kemia, Fizikia, Hisabati na Kiingereza.

·         Astashahada ya Uuguzi na ukunga (Technician Certificate nursing and midwifery). awe amemaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama ‘D’, kwa masomo ya biologia, Kemia, Fizikia.  Hisabati na Kiingereza ni sifa za ziada

·         Astashahada ya Utabibu  (Technician Certificate clinical medicine). awe amemaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama ‘D’, kwa masomo ya biologia, Kemia, Fizikia.  Hisabati na Kiingereza ni sifa za ziada

1.    Astashahada ya awali (basic Technician certificate)

·         Uhudumu wa afya (Community Health worker) awe memaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama ‘D’, kwa masomo manne (4), somo la biolojia (Biology) likiwa nilazima  

·         Watoaji dawa muhimu (Dispencers) awe amemaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama ‘D’, kwa masomo manne (4), somo la biolojia (Biology) likiwa ni lazima.

3.    Utaratibu wa kutuma maombi:

Maombi yatafanyika kwa  njia ya mtandao kupitia mfumo wa udahiri wa pamoja (Central Admission System-CAS) unaoendeshwa na kusimamiwa na NACTE.Aidha mfumo huu unapatikana kupitia Tovuti:www.nacte.go.tz  au  www.cas.go.tz 

4.    Utaratibu wa kutoa taarifa kwa waliochaguliwa:

5.    Baraza la Elimu ya Ufundi (NACTE) litakuwa na wajibu wa kuwataarifu wale wote watakaofanikiwa kuchaguliwa kujiunga na kozi mbalimbali kupitia ‘website’ ya Baraza na pia kupitia utaratibu mwingine wowote utakaodhihirika kurahisisha mawasiliano na utoaji taarifa.

6.    Taarifa hizo zitatumwa pia vyuoni kwa ajili ya ufatiliaji na urahisishaji wa mawasiliano.

7.    Muda wa mwisho wa kuomba kujiunga ni tarehe 31 Marchi, 2016.

8.    Muhula wa masomo unatarajiwa kuanza tarehe 18 April, 2016

.

Imetolewa na:

Kaimu Katibu Mtendaji,

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi

S.L.P. 7109,

Dar es Salaam.

About Admin

0 comments:

Post a Comment