Mourinho ajifagilia

Kocha asiye na ajira, Jose Mourinho amesema angependa kufundisha timu inayoshiriki ligi ngumu na siyo kinyume chake.
Chelsea ilimtumua Mourinho Desemba mwaka jana, miezi saba kupita tangu atwaa ubingwa wa England. Tangu wakati huo hana kazi na mara kadhaa amekuwa akihusishwa kwenda kujiunga na Manchester United kuchukua nafasi ya kocha Louis van Gaal.
"Nitaelekeza akili yangu pale napotaka kwenda. Nahitaji kujisikia mwenye furaha, ningependa kufanya kazi napohitaji," anasema.

"Nataka kufanya kazi kwenye klabu inayojiweza, nataka kufundisha timu inayoshiriki ligi ngumu. Kuna ofa nyingi nimepata, tutaamua."

About Admin