KUITWA KWENYE USAILI Shirika la Viwango Tanzania Bureau of Standards May 2016

KUITWA KWENYE USAILI

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za kazi zilizotangazwa tarehe 23.12.2015 kuwa usaili wa kuandika (Aptitude test) utafanyika tarehe 06.06.2016 hadi 07.06.2016. Usaili utafanyika katika ukumbi wa University of Dar-es-Salaam, Business School; muda ni kama ulivyoainishwa katika jedwali husika. Matokeo ya usaili wa kuandika yatatangazwa tarehe 10.06.2016 katika tovuti ya TBS http://www.tbs.go.tz

Pia usaili wa mahojiano (Oral Interview) utafanyika kuanzia tarehe 14.06.2016 hadi 15.06.2016; muda ni kama ulivyoainishwa kwenye jedwali. Mahali pa kufanyia usaili ni katika ofisi za TBS makao makuu yaliyopo Ubungo, Dar-es- Salaam.

Kada zifuatazo zitafanya usaili wa kuandika (Aptitude test) tarehe 06.06.2016 hadi 07.06.2016:

Tafadhali bonyeza linki zifuatazo kwa taarifa zaidi:
KUITWA_KWENYE_USAILI_-_Mei_2016.pdf
Shortlisted_Inspection_Techn_-_Biomedical_Eng_-_ready_NEW.pdf
Shortlisted_QAO_-_Bsc_General_(MicroChem)-Ready.pdf
Shortlisted_QAO_-_Textile__Leather_Eng_-_ready.pdf
Shortlisted_Inspector_-_Textile__Leather_Eng-ready.pdf
Shortlisted_Systems_Administrator-Ready.pdf
Shortlisted_STD_-_Bsc_Textile__Leather_Eng_-_ready.pdf
Shortlisted_STD_-_Bsc_General_(MicroChem)-_ready.pdf
Shortlisted_STD_-_Bsc_Envir_Health_Science_-ready.pdf
Shortlisted_STD_-_Bsc_Electrical_Eng-_Ready.pdf

.

About Admin

0 comments:

Post a Comment